Burudani

TEASER: Erica Mtanzania aishie Marekani ametuletea teaser ya wimbo wake ‘Chereko’

on

Leo nakusogezea kidokezo cha wimbo wa mwanadada aliefanya vizuri na kibao ‘Close to you’ Mtanzania Erica Lulakwa ambaye anaishi nchini Marekani ambaye amekua na ustadi wa hali juu ukiacha mbali kuimba ila ana uwezo wa kutumia ala za muziki mbalimbali ambapo hivi karibuni anategemea kuachia wimbo wake wa ‘Chereko’ May 26, 2021 ambapo itakuwa siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Soma na hizi

Tupia Comments