AyoTV

VIDEO: Meya Jacob alivyowasilisha malalamiko Tume ya Maadili dhidi ya RC Makonda

on

Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob Leo March 22 2017 amewasilisha malalamiko kwenye Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma na Viongozi dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki, mali na ukiukwaji wa miiko ya viongozi.

Meya Jacob amesema amefikisha malalamiko hayo kama raia wa kawaida ili RC Makonda aitwe kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi ahojiwe. Bonyeza play hapa chini kuitazama

VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye kazungumza kinachoendelea kuhusu Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments