Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Meya mahakamani kusambaza picha chafu za watoto.
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Meya mahakamani kusambaza picha chafu za watoto.
Top Stories

Meya mahakamani kusambaza picha chafu za watoto.

March 3, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Meya huko Maryland amejiuzulu baada ya kukamatwa kwa makosa 56 ya kumiliki na kusambaza picha chafu za watoto.

Patrick Wojahn, meya wa eneo la College Park, anatuhumiwa kwa kuendesha akaunti ya mtandao wa kijamii iliyomiliki na kusambaza washukiwa wa ponografia ya watoto,polisi wa eneo la Prince George ilisema katika taarifa ya habari.

Mnamo Februari, idara hiyo iliarifiwa na Kituo cha Kitaifa cha Watoto Waliopotea na Kunyanyaswa kwamba akaunti ya mtandao wa kijamii inayoendeshwa na mtu asiye fahamika ipo katika eneo hilo na ilikuwa ikimiliki na kusambaza ponografia ya watoto.

Wojahn, (47)anadaiwa kuweka/kupakia video hizo Januari mwaka huu, polisi wanasema, na kusababisha wachunguzi kupata hati ya upekuzi wa nyumba yake ambapo walipata simu nyingi za mkononi ,kifaa cha kuhifadhia, tablet na kompyuta kutoka nyumbani kwake jambo ambalo lilipelekea kukamatwa kwake siku ya Alhamisi asubuhi.

Jiji la College Park lilitoa taarifa siku ya Alhamisi, na kutangaza kwamba Wojahn alijiuzulu usiku wa kuamkia siku hiyi baada ya saa za kazi,na kwamba uchaguzi maalum utafanyika ndani ya siku 65 zijazo huku Meya Pro Tem Denise Mitchell akichukua nafasi hiyo.

Kwenye barua yake aliandika ;    “Ingawa uchunguzi huu hauhusishi biashara yoyote rasmi ya jiji la aina yoyote, ni kwa manufaa ya jamii yetu kwamba ninajiweka kando nakuwa mtulivu,”.

Baada ya uchunguzi wa awali, Wojahn alikamatwa kwa makosa 40 ya kupatikana na nyenzo za kuwanyanyasa kingono watoto na makosa 16 ya usambazaji wa video hizo.

Wojahn alihudumu kama meya tangu 2015 na alikuwa kwenye baraza la jiji tangu 2007.

You Might Also Like

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 3, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2023
Next Article Billie Eilish afuta App zote za mitandao ya kijamii kwenye simu yake.!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

May 30, 2023
Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?