Top Stories

Meya wa Arusha wa CHADEMA ahamia CCM, atoa tuhuma (+video)

on

Wakati kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikiendelea nchini, aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro amejiunga na Chama Cha Mapinduzi na kupokelewa na Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Kalisti Lazaro aliyefika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini DSM ameeleza amefikia uamuzi huo baada ya kupitia wakati mgumu akiwa katika Wadhifa wake wa Meya wa Jiji la Arusha.

KANISA LA MFALME ALIYEDAI KAMFUFUA KANUMBA LAFUNGIWA, WAUMINI “HATUSOMI BIBLIA, TUNALALA TOPENI”

Soma na hizi

Tupia Comments