AyoTV

VIDEO: Dakika 11 za vurugu zilivyotokea katika uchaguzi wa Meya Dar

on

Leo February 27 2016 ilitangazwa kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam ambao ulipangwa kufanyika Karimjee hall Dar lakini wakati watu wakiwa wamekusanyika tayari kwa uchaguzi huu, mzozo ukazuka baada ya kaimu mkurugenzi wa Jiji kutangaza kuahirishwa kwa uchaguzi huu hadi tarehe nyingine itakapotajwa tena.

Imeelezwa kwamba kesi ya msingi iliyofunguliwa February 2016 na watu ambao hawajatajwa ndio imeifanya Mahakama kuzuia uchaguzi huu wa Meya kwa muda.

Yote unaweza kujionea kwenye hii Video hapa chini….

CHADEMA WALIONGEA SIKU MOJA KABLA KUHUSU HII ISHU, TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments