Mix

Yaliyonifikia uchaguzi wa Meya Wilayani Ilemela, Mwanza leo Dec 11, 2015…(Picha $ Audio)

on

Leo Dec 11, 2015 halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mwanza imeandika historia nyingine kwa kufanikisha uchaguzi wa Meya na Naibu wake ambapo Renatus Mulunga kaibuka mshindi wa Umeya huku naibu wake akiwa Shabani Maganga ambao wamepita kufuatia kura za Madiwani.

Hapa nakusogezea baadhi ya matukio katika picha pamoja na sauti za Meya na Naibu wake mara baada ya kuapishwa ambapo walipata nafasi ya kuzungumza na ripota wa millardayo.com mara baada ya kutangazwa washindiImage00002

Image00005

Image00006

Image00007

Image00008

Image00009

Kutokea kushoto Naibu Meya Shabani Maganga, Meya Renatus Mulunga na Mkurugenzi John Wanga

Image00010

Baadhi ya Madiwani wakishangilia ushindi

Image00011

Mstahiki Meya wa Ilemela Renatus Malunga akiwashukuru Madiwani kwa kumpa kura

Image00012

Naibu Meya Shabani Maganga

Unaweza kuipata stori kamili kwa kubonyeza Play hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments