AyoTV

‘Mfalme wa mapenzi’ ya Sanaipei imegonga views zaidi ya laki 3.

on

Screen Shot 2014-08-19 at 7.40.24 AMSanaipei ndio aliifanya ‘kwa heri’ aliyoshirikishwa na Jua Cali kuwa hit song miaka kadhaa iliyopita baada ya kushirikishwa kwenye chorus, vilevile ametokea kwenye hit singles na Wakenya wenzake kama Big Pin.

Ni hodari wa sauti na utunzi nchini Kenya ambae baada ya kukaa kimya, June 2014 aliachia video yake mpya iliyovunja ukimya wake na kumfanya achukue sehemu kubwa ya vichwa vya habari kutokana na aina hii ya video ambayo mpaka August 19 2014 imetazamwa zaidi ya mara laki tatu na elfu 70.

Tupia Comments