Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mfanyakazi wa Bank aliyechomwa moto hadi kifo, Baba asimulia (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
April 1, 2023
Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mfanyakazi wa Bank aliyechomwa moto hadi kifo, Baba asimulia (video+)
Top Stories

Mfanyakazi wa Bank aliyechomwa moto hadi kifo, Baba asimulia (video+)

March 12, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Watu wasiojulikana wamemmwagia mafuta yadhaniwayo kuwa ni Petroli kisha kumchoma moto na kumsababishia kifo Neema (Martha) Towo (30) Mkazi wa Kwa Mbonde, Kata ya Kwa Mathias, Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani ambaye ni Mhasibu wa BOA Bank Tawi la Kahama Mkoani Shinyanga.

@ayotv_ imefika KKKT Usharika wa Tumbi ambako leo mwili wa Martha umeagwa kisha kusafirishwa hadi Moshi kwa maziko, ambapo Baba Mzazi wa Martha, Ndeonasia Towo amesimulia kilichomtokea Mwanae mbele ya Waombelezaji Kanisani.

Mzee Towo amesema Martha alifanyiwa kitendo hicho March 03,2023 saa 22:30 usiku, maeneo ya Mitamba Wilayani Kibaha ambapo Wahalifu hao walimpigia simu Martha akiwa Kanisani (KKKT Usharika wa Tumbi) na akatoka na kuwafuata kisha waliondoka nae na kwenda kumfanyia ukatili huo katika eneo hilo.

Mzee Towo anasema anaamini Martha hakuchomwa moto tu bali pia alichomwa dawa iliyoharibu figo zake lakini amesema Martha alikuwa jasiri maana hata baada ya tukio hilo alipambana na kukimbia akiwa ameungua hadi kwa nyumba za jirani na kuwatajia namba za Baba yake ili wampigie, baadaye Polisi walipewa taarifa na kumchukua Martha na kumpeleka Hospitali ya Tumbi kwa matibabu na baadaye alihamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa uangalizi zaidi wa kimatibabu na alifariki usiku wa kuamkia Alhamisi March 09,2023.

You Might Also Like

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

Edwin TZA March 12, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wafaransa waingia kwenye mgodi mkubwa wa Madini ya Tanzanite (video+)
Next Article Waziri Mkuu Majaliwa awataka vijana na Wanawake kuchangamkia Fursa zilizotolewa na CRDB Bank
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Top Stories April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Top Stories

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

April 1, 2023
Top Stories

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?