Utafiti ni chanzo cha famasia Justin kujishindia Tsh 19,748,049.57
Katika dondoo za kubashiri na kiasi kidogo na kushinda kiasi kikubwa, Justin Ndhahani anashauri tafiti ndiyo chanzo cha kuweza kubadilisha dau lake la Tsh 890 na kuwa ushindi wa Tsh 19,748,049.57 na betPawa.
Famasia huyu ambaye ni shabiki wa mpira aliweka mkeka wenye mechi 23, ambayo ilikua moja ya njia ya kujishindia kiasi kikubwa hapa betPawa kulingana na kutoa bonasi kubwa zaidi za ushindi hapa Tanzania kuanzia mechi tatu na kuendelea.
Ushindi wa Justin mkazi wa Dar es Salaam ulitokana na bonasi kubwa ya ushindi wa 115% za mechi 23 alizobashiri sahihi, bonasi hizi za ushindi zinafika hadi 250% endapo mteja atabashiri mechi 30 na kupata zote sahihi.
Justin alibashiri vipi mkeka wake?
“Usikate tamaa, endelea kubashiri na kuongeza jitihada katika tafiti zako na maajabu yatatokea”, ndiyo falsafa na bashiri za Justin zilizopelekea ushindi wake mkubwa kama ushahidi wa juhudi za tafiti zake.
Machaguo kutoka ligi maarufu za bara la Ulaya kama Premier League, La Liga, Bundesliga na Serie A ziliunganishwa na machaguo kutoka ligi zisizofahamika sana kama Denmark, Czech Republic na Norway.
Ushindi wa bashiri zake kutoka masoko mbalimbali pia ulikua ushahidi wa mtazamo wake bora katika kubashiri. Na pia katika uchaguzi wa timu ya ushindi (1X2), uchaguzi wa magoli kadhaa katika soko la over/under, ulipelekea mafanikio yake.
Historia ya Justin na betPawa
“Nimefahamu kuhusu betPawa kutoka kwa rafiki yangu Tony. Akanieleza na kunishauri nianze kubashiri kupitia betPawa.”
“Sina muda mrefu sana hapa betPawa, nadhani nina kama miezi 3-5. Lakini tayari naipenda betPawa na pia nilijaribu kununua tiketi za Jackpot. Kwakweli Jackpot yenu ni ya haki na bei nafuu.”
“Kubashiri sio kosa. Ukibashiri kwa kuzingatia na kutokukata tamaa, mchezo huu wa bahati utakupeleka sehemu zenye mafanikio.”
“Nataka kumiliki famasi yangu hapo baadaye, na hiki kiasi nilichoshinda nitakifanyia kitu ambacho kitazalisha zaidi na kunifanya nije kuwa mmiliki wa famasi yenye ubora.”
Je unataka kushinda kiasi kikubwa kama Justin? Jisajili na betPawa
SHILOLE AWACHANA ROSTAM, AVUJISHA VIDEO WAKILA UKOKO “MTAPAKATWA”