Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Hawa ni faru tisa waliopokelewa Airport KIA kutoka Afrika Kusini (+video)

on

Tanzania imepokea faru tisa kati ya kumi kutoka nchini Afrika ya Kusini walioletwa nchini kwa Shirika la Ndege la Senator International kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Faru hao watapelekwa eneo maalumu ambalo bado halijaainishwa kwa ajili ya uangalizi.

NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE “SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI “

Soma na hizi

Tupia Comments