Top Stories

Mfuga mbwa “Nilianza kuuza mbwa koko, sasa namiliki gari la Milioni 45, fuso mbili” (+video)

on

Oscar Maarufu kama Nondo mkazi wa Arusha ni Kijana wa Kitanzania ambaye aliona fursa ya kufuga mbwa miaka mitano iliyopita baada ya kuanza kufuga mbwa wanne wa kawaida ambapo kwa sasa anao mbwa 21 ambao miongoni mwao yupo wa milioni sita

“Hii biashara namshuru Mungu ni fursa kwa miaka mitano ya Rais Magufuli nimeona matokeo makubwa sana cha kwanza imenipa usafiri wa heshima, nina VX nimenunua milion 45” Nondo

MAGUFULI AMPA ONYO KALI MZEE BAHKRESA “WASIUZE MADAWA YA KULEVYA HOTELINI, MAMBO HOVYO YASIFANYIKE”

Soma na hizi

Tupia Comments