Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Ni April 1,  2023 ambapo Millardayo.com & Ayo TV inakukunisha na stori ya Mfugaji Flavian Mbara ambae ni Mkazi wa Njombe.

Ambae amefunguka yale tusiyoyajua kuhusu Ufugaji wake mpaka namna alivyopata faida alipoanza kufanya kazi na Kampuni ya Asas.

‘Nimejiunga na Asas, kwasasa nakamua ngombe sita ambao kwa wastani Asubuhi na Jioni nauza Maziwa lita 86 hadi 100 na nachukua nafasi hii kumshukuru sana Mkurugenzi wetu wa Kampuni ya Asas Ahmed kwani ametukumbuka sisi wafugaji kwani amekuwa msaada mkubwa sana’- Mfugaji

‘Ukiona Asas amekukubali Mfugaji hadi kuchukua maziwa yako basi jua wewe ni wa viwango vya juu katika Ufugaji na soko letu linaenda vizuri na katika malipo yapo vizuri na wala hatujawahi kupitilizwa malipo kulipwa hatujawahi kufanya jambo lolote ambalo si rafiki na biashara’- Mfugaji

‘Biashara yetu inaenda vizuri watu tumefanikiwa kusomesha na kama hauna watoto basi biashara yetu inatusaidia kujenga nyumba katika makazi yetu, soko letu tulijiunganisha kama Chama cha msikamano kwahiyo Maziwa yanakusanywa katika chama cha ushirika baada ya hapo yanaenda kwa mnunuzi ambae ni Asas’- Mfugaji

‘Kwasasa nasomesha wangu kupitia Ufugaji kiukweli Asas ni mkombozi wetu kwani leo hii Maziwa ningekuwa namuuzia nani ila Asas namshukuru kwanipa hii tenda Mungu awabariki sana Asas’- Mfugaji

You Might Also Like

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Edwin TZA April 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Next Article Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?