Top Stories

Mfungwa agomea msamaha wa Rais alilia kubaki gerezani

on

Mfungwa Merad Abraham ambaye alipaswa kurejea Uraiani na wenzake baada ya msamaha wa Rais Magufuli alioutoa Uhuru Day, amekataa kuondoka katika Gereza la Ruanda Mbeya akidai hana pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe ili arejeshwe Gerezani “ikiwezekana nihamishiwe Ukonga DSM”.

Jana Desemba 9, 2019, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli alitangaza kuwasamehe wafungwa 5333 kutoka Magereza mbalimbali nchini.

MUFTI MKUU APIGA MARUFUKU MUZIKI MOTO NCHI NZIMA “DUFU NA QASWIDA WANACHAFUA”

Soma na hizi

Tupia Comments