Top Stories

Mfungwa aliemkata Mkewe na shoka arudi nyumbani, achinjiwa kondoo (+video)

on

Mzee Ruben Nassoro aliyekuwa mfungwa wa Gereza la Karanga Moshi kabla ya kusamehewa na JPM December, amerejea nyumbani baada ya awali kusema anaogopa kurudi kwakuwa alimkata Mke wake kwa shoka na kupelekwa polisi.

Nassoro amesema baada ya kurudi alichinjiwa kondoo ili kuondoa mkosi kwa kumwaga damu ya Mke wake japo anasema Mkewe alikaa nae kwa wiki mbili tu baada ya hapo aliondoka nyumbani bila kujua sababu.

MAPAMBANO DHIDI YA CORONA: VYOMBO VYA HABARI 10 VYAPEWA SANITIZER

Soma na hizi

Tupia Comments