AyoTV

Rais Magufuli kakutana na Wafanyabiashara wa Tanzania Ikulu, sikia alichowaambia (+audio)

on

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo December 3 2015 alikutana na Wafanyabiashara mbalimbali kwenye sekta binafsi ambao kwa siku kadhaa sasa wamekua wakiomba kukutana nae, bonyeza play hapa chini kwenye hii video umsikilize Rais Magufuli kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments