Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Usijidanganye hutokamatwa kwa kumtukana mtu mtandaoni hata kama unatumia jina jingine
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Usijidanganye hutokamatwa kwa kumtukana mtu mtandaoni hata kama unatumia jina jingine
AyoTV

Usijidanganye hutokamatwa kwa kumtukana mtu mtandaoni hata kama unatumia jina jingine

May 2, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Godfrey Magila ni mtaalamu wa Teknolojia kwenye upande wa mitandao na ndio aliyetengeneza App ya Tigo Back-Up, amekaa kwenye Interview na Millard Ayo na kueleza urahisi wa kukamatwa kwa yeyote anaefanya kosa la kimtandao ikiwa tayari sheria ya makosa ya kimtandao imeshaanza kufanya kazi Tanzania.

Tayari watu kadhaa wameshafikishwa Mahakamani Tanzania akiwemo aliyemtukana Rais Magufuli, aliyeandika habari za uongo za mkuu wa majeshi kulishwa sumu…… wengi wanaamini sio rahisi kukamatwa hata ukitumia jina ambalo sio lako kwenye mtandao ila Magila anasema ni rahisi sana.

Anasema ‘Kila mtu aliyejiunga kwenye mtandao kuna kama unaacha alama ya unyayo kwahiyo hilo watu wanalichukulia kirahisi lakini lina umuhimu wake na ndio linafanya ijulikane muda, sehemu na taarifa nyingine kuhusu wewe pale unapotafutwa, unyayo unaonyesha mpaka aina ya simu‘

Kubadilisha jina na kumtukana mtu kwenye mtandao itasaidia usikamatwe? >>> ‘Kuna baadhi ya vitu hata ukibadilisha jina haisaidii mfano mitandao mingi ukijiunga au email unaambiwa uingize namba ya simu kwa ajili ya uthibitisho, utatumiwa msg kwenye simu ili uthibitishe…. tayari namba yako uliyoiweka ina taarifa zako nyingi na hiyo ni moja tu ya njia nyingi zinazoweza kufanya ukamatwe’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

You Might Also Like

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

DC Jokate afanya ziara ya kushtukiza ofisi za Tanesco, kafanya maamuzi haya

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

TAGGED: AyoTV, Teknolojia
Millard Ayo May 2, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Nisha kuhusu kazi maisha na mapenzi ‘sishtukagi na headlines, sijawahi kuwa na urafiki na Baraka’
Next Article Sekta 5 zinazoongoza kwa uchumi na ajira Tanzania, Bilioni 15 kudili na tatizo la ajira
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?