Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali leo January 11 2017 amehukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.
Mbunge Lijualikali alishtakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye sikiu hiyo ya uchaguzi.
Mbunge jimbo la Kilombero Lijualikali amehukumiwa jela miezi 6 bila faini, alikuwa akituhumiwa kuwashambulia polisi na M/kiti wa Halmashauri pic.twitter.com/mKswhRopYG
— millardayo (@millardayo) January 11, 2017
VIDEO: Mbunge wa kilombero alivyohoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi