Top Stories

BREAKING: MO DEWJI “Nilifungwa kamba, walinibembeleza nile chakula”

on

Familia ya mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohamed Dewji ‘Mo’ imeshukuru a kupatikana kwa bilionea huyo kijana Afrika.

Msemaji wa familia, Azzim Dewji akizungumza nyumbani kwa ‘Mo’ leo asubuhi Jumamosi Oktoba 20, 2018 amesema,”Tumempaka na tunamshukuru Mungu.”

Amesema afya ya ‘Mo’ aliyetekwa alfajiri ya Alhamisi wiki iliyopita Oktoba 11,2018 jijini DSM, Tanzania ‘ni nzuri asilimia 100’ sema labda sababu alitekwa inaweza kuwa tatizo kisaikolojia.

Azzim amesema,”Amepatikana mida ya saa 8.30 usiku, walimuacha halafu yeye (Mo) akapiga simu kwa baba yake.”

BREAKING: MO DEWJI APATIKANA, SIRI ZAVUJA WALIOMTEKA MO DEWJI KIMAFYA

Soma na hizi

Tupia Comments