Top Stories

Rasmi Frank Lampard awa Kocha wa 10 kuajiriwa Chelsea

on

Klabu ya Chelsea imemthibitisha kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Frank Lampard kuwa kocha mpya wa timu hiyo. Uamuzi huo umefikiwa siku tisa tangu klabu ya Derby kuruhusu Lampard kufanya mazungumzo na Chelsea.

Lampard anakuwa Meneja wa 10 kuajiriwa na tajiri Roman Abramovich tangu ainunue klabu hiyo mwaka 2003.

TAZAMA BONGO ZOZO ANAVYOENDA UWANJANI MECHI YA TAIFA STARS NA KENYA

Soma na hizi

Tupia Comments