Top Stories

Watendaji wa Kata 11 walivyofukuzwa kazi mbele ya kikao cha Madiwani (+video)

on

Leo May 17, 2019 Halmashauri ya Jiji la Tanga imewasimamisha kazi Watendaji Kata 11 na kumshushia mshahara Mtendaji mmoja kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mstahiki Meya Seleboss.

KAMISHNA AOMBWA KUWAPA VYETI WAFUNGWA WANAPOMALIZA KIFUNGO

Soma na hizi

Tupia Comments