Mwanamke anaejulikana kwa jina la Leonia Said ambaye ni mkulima mkazi wa Mtaa wa Majengo Mwanga Mkoani Kigoma amekutwa amejinyonga kwa kutumia mtandio chumbani kwake kwa sababu ya msongo wa mawazo baada ya Mumewe kulazwa Hosptali Maweni kwa kuumwa ugonjwa wa akili.