AyoTV

Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli

on

Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne ambao wamekwenda nje ya nchi bila ruhusa yake, wamezungumziwa kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments