Top Stories

Asha Rose Migiro azungumza Ikulu “Rais Magufuli ametutia moyo” (+video)

on

Leo August 22, 2019 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Asha-Rose Migiro amezungumza akiwa Ikulu Jijini DSM baada ya kumaliza kikao cha Mabalozi Ikulu kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr.  John Pombe Magufuli.

“INASIKITISHA SANA” ALIEMDAI MAGUFULI KITAMBULISHO HOSPITALINI AFARIKI

 

Soma na hizi

Tupia Comments