Top Stories

Kikao kilichoongozwa na Magufuli kimemteua Pallagyo kugombea Jimbo la Nassari

on

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) imekutana kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Dkt. John Magufuli wamempitisha John Danielson Pallagyo kuwa mgombea wa Jimbo la Arumeru kwa tiketi ya Chama hicho.

Jimbo hilo limekuwa wazi baada Bunge kutengua Ubunge wa Joshua Nassari (CHADEMA) kwa kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge mfululizo bila taarifa.

BARAKA MAGUFULI ALIVYOKUTANA NA JPM | ANAWEZA KUIGIZA SAUTI YA LOWASSA “HAKUNIPA KITU”

 

Soma na hizi

Tupia Comments