Top Stories

President JPM ampa shavu Mstaafu Mkapa kwa mara ya pili mfululizo

on

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amemteua Mstaafu Benjamini Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

ATHARI ZA MVUA: MAMBO MATATU YA KUSHANGAZA KATIKA MAFURIKO YA JANGWANI

Soma na hizi

Tupia Comments