Top Stories

Rais Magufuli aitetea Zimbambwe “Wanaopata tabu ni Wananchi” (+video)

on

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya SADC Dr. Magufuli ameziomba Jumuiya za Kimataifa kuiodolewa vikwazo vya kiuchumi, Zimbabwe kwa kile alichokisema kufungiwa kwa nchi hiyo wanaoathirika hadi wanachama wa Jumuiya hiyo.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa 39 wa SADC katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, ambapo aliwaomba wanajumuiya kulisema suala hilo.
Zimbabwe wamekuwa kwenye vikwazo kwa muda mrefu, hichi kifungo tunaathirika sisi wote, napenda kupendekeza kupitia mkutano huu kuziomba Jumuiya za Kimataifa ziiondolee vikwazo Zimbabwe, na nawaomba wanachama wote tulisemee hili.” Rais Magufuli
“Kwa mawazo yangu binafsi, nadhani kama tukifanya kazi kwa pamoja kama Jumuiya ya SADC, nadhani uchumi utakua zaidi ya asilimia 3.1.”

LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO WA 39 WA SADC

Soma na hizi

Tupia Comments