Top Stories

Muna amefunguka yote A to Z “athibitisha Casto ni Baba yake Patrick”

on

Leo July 18, 2018 Mwanadada Muna Love ambaye ni Mama yake mzazi wa Marehemu Patrick amezungumza na waandishi wa habari na kutoa majibu ya maswali mbalimbali yaliyokuwa vichwani mwa watu kuhusu mtoto wake lakini pia maisha yake ya uhusiano.

Muna amethibitisha kuwa Baba mzazi wa Patrick ni Mtagazaji wa Clouds Fm Casto Dickson na kwamba aliyekuwa Mumewe anafahamu ukweli wote, Kutazama Full Press Conference Bonyeza PLAY hapa chini.

“Daddy naumia” aliongea Patrick kabla hajafariki “akaelekea ICU” Lwaga

Soma na hizi

Tupia Comments