Top Stories

Rais Magufuli alivyosimama kuwasalimia abiria waliopanda daladala (+picha)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasalimu Abiria wa daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba Mjini kuelekea Karagwe Mjini waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika Kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera.

Soma na hizi

Tupia Comments