Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Top Stories

Jamaa kaliamsha dude mbele ya Magufuli, umati wapiga shangwe (+video)

on

Akiwa njiani kutoka Kongwa kwenda Ikulu ya Chamwino, Rais Magufuli amesimama kuwasalimu wananchi wa Mbande Mnadani na Mbande Njiapanda ambao wamemshukuru kwa kupatiwa vitambulisho vya wajasiriamali vinavyowawezesha kufanya biashara bila bughudha.

JPM amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge kumega eneo lililo chini ya Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC) kando ya Mbande Njiapanda kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mabasi, Kituo cha Polisi na Kituo kidogo cha afya na kuhakikisha eneo la Mbande Mnadani linapatiwa maji na vyoo.

MAGUFULI AMGEUKIA BODI GADI WAKE, AMFANYA ATOE LAKI CASH

Soma na hizi

Tupia Comments