Top Stories

LIVE: Siku ya mwisho Mbeya, Rais Magufuli anazungumza na Wananchi

on

Rais Dk. John Magufuli leo May 3, 2019, ameweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Sayansi na Tenkolojia Mbeya (MUST), ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo, tazama LIVE kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAHUTUBIA UMATI MKOANI MBEYA

 

Soma na hizi

Tupia Comments