Habari za Mastaa

Nandy & Aslay walivyonogesha usiku wa kumtafuta Miss Mwanza 2018.

on

Msaani Nandy na Aslay wameungana kwa pamoja kunogesha usiku wa kumtafuta mrembo aliyewania taji la Miss Mwanza usiku wa July 6, pale Rock City Mall, mrembo Sharon Headlam ndio ameibuka mshindi kati ya warembo 14 waliowania taji la Miss Mwanza.

LIVE: Kutoka LEADERS, MWILI WA MTOTO WA MUNA (PATRICK) UNAVYOAGWA

Soma na hizi

Tupia Comments