Top Stories

Mtoto asimulia mambo ya ajabu, alipewa uchawi, anaendesha ungo, kula nyama za watu (+video))

on

Kutana na Mtoto ambaye amerithishwa uchawi kutoka kwa Babu yake tangu akiwa mdogo akiwa anaishi na Babu huyo baada ya kupelekwa na Wazazi wake ambao wapo Mkoa mwingine kwa ajili ya kutafuta maisha.

Mtoto huyo aneleza kuwa kwa sasa anatakiwa kuwatoa kafala Wazazi wake ili awe mchawi aliyebobea huku akiiambia AyoTV kuwa yeye ndio rubani wa ndege wanayotumia kuruka (Ungo) na Babu yake ndiye konda na katika Kijiji hicho ni nyumba mbili tu bado hajaingia usiku wakiwa wamelala.

KIGWANGALLA AZUNGUMZIA KIFAA KINACHOTAMBUA KILA ANAPOKWENDA TEMBO

Soma na hizi

Tupia Comments