Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Magufuli ameahidi kuwapongeza hawa watu siku zote (+video)

on

Rais Magufuli amewapongeza Madaktari na Wauguzi wa MOI kwa kazi kubwa wanayoifanya na ameahidi kutoa shilingi Bilioni 1.5 kwa taasisi hiyo kwa ajili ya kununulia vipandikizi kwa ajili ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu baada ya kuvunjika.

NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE “SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI “

Soma na hizi

Tupia Comments