Top Stories

Magufuli “Babu yako ameshakufa bado unategemea tawi hilo hilo” (+video)

on

Rais Magufuli amesema Serikali imechukua hatua madhubuti za kuwalinda wakulima wa zao la kahawa kwa kutoa fedha ili kuviwezesha vyama vya ushirika kununua kahawa kwa bei nzuri na ameruhusu wanunuzi binafsi wa ndani na nje ya nchi kununua kahawa hiyo ilimradi wazingatie sheria na utaratibu uliowekwa na Serikali.

Rais Magufuli amesema hayo leo alipozungumza na wananchi wa Kyaka, Rwamishenye, Kemondo, Muleba, Nyakabango na Kyamyorwa Mkoani Kagera wakati akiwa safarini kutoka Karagwe Mkoani Kagera kwenda Chato Mkoani Geita.

“VIJANA WANA-POST WAPO TAYARI KUMWAGA DAMU, MCHANJE NA KIWEMBE UONE”

Soma na hizi

Tupia Comments