Top Stories

Mtoto mdogo alivyomfurahisha Magufuli, ampa ushauri juu ya Wanaume (+video)

on

Rais Magufuli akiwa Mkoani Rukwa amesema “Wanafunzi nawaomba msome, haiwezekani hela za Watanzania wamewalipia bure mpaka sekondari nyinyi mnapata mimba, mtu akikwambia wewe ni mzuri mwambie mama yako ndiyo mzuri, msiogope kuwaambia maneno magumu”.

LIVE: ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI RUKWA, ANASIKILIZA KERO

Soma na hizi

Tupia Comments