Top Stories

NDUGAI VS SUGU BUNGENI: Gumzo la anachoning’iniza Sugu

on

June 5, 2018 Wabunge walikuw awakijadili mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo alikuwepo Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na wakati akichangia Spika wa Bunge Job Ndugai akaamua kuingizia utani kuhusu namba ya mfungwa aliyokuwa ameivaa kwenye koti la suti.

Mengi tusiyoyajua ya Maria na Consolata anazungumza Mwalimu wao ‘Kuchunguliana Mitihani Je?

Soma na hizi

Tupia Comments