Top Stories

Mgodini kwa Bilionea aliepata dini la Spinel, nimechimba na Harmonize, nimelala msituni (+video)

on

Leo October 22, 2020 nakukutanisha na Bilionea Mtanzania ambaye alipata jiwe kubwa la Spinel Mahenge mkoani Morogoro Salim Hasham Almas ambapo leo ametufikisha katika mgodi wake na kutuelezea historia yake ya uchimbaji.

“Maisha yangu nimeanzia Mahenge, haikuwa rahisi kwenye maisha Baba alifariki nikiwa shule na Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia na Mama yetu alituzaa wanne na kila mtoto na Baba yake, nilionekano kidogo nina muono wa madini” Almas

“Niliachiwa familia nilianza kuchimba madini nikiwa shuleni ilibidi niende shule na kwenda mgodini, ilifika mahali mpaka Headmaster ikabidi akubali, nilijitahidi mpaka nikamaliza Form four ndio nikaanza rasmi maisha ya Mtaani” ifahamu stori yote ya Almas kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments