Top Stories

Mgogoro Kenya, Tanzania “Madereva wapimwe Corona kwenye nchi zao” (+video)

on

Tanzania na Kenya zimeafikiana kurejesha utaratibu wa awali ambapo kila dereva pande zote mbili watatakiwa kupima virusi vya corona kabla ya kuingia upande wa pili.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya viongozi wa pande zote mbili kutatua changamoto zilizoleta ishara ya kutofautiana katika kushughulikia suala la madereva wanaovuka mipaka ya kenya na Tanzania.

MTAMBO WA KUFUKIZA, CORONA, KANSA, PUMU, WAGONJWA WAMEPONA “NYUNGU SIKU 3 TU”

Soma na hizi

Tupia Comments