AyoTV

Mgogoro wa ardhi Iringa: Utacheka jamaa amekanwa live na viongozi wake (+video)

on

Ikiwa bado Mkuu wa mkoa wa Iringa, Ally Hapi anaendelea na ziara ya kuwasikiliza wananchi, sasa nimeipata hii ya mwananchi aliepewa kipaza sauti kisha kukanwa live na  viongozi wake, itazame hii video hapa ujionee kilichotokea

Soma na hizi

Tupia Comments