AyoTV

Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015

on

December 19 2015 kwenye game ya ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ambapo hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi, tazama hii video hapa chini ujionee magoli yote…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments