Top Stories

Mgombea ubunge Arumeru Mashariki “nitatetea wanawake,mabweni kila kata”

on

Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki Eva Kaaya kupitia NCCR Mageuzi, amezindua kampeni zake ambapo miongoni mwa mambo amabayo ameahidi kuyafanyia kazi endapo atachaguliwa ni kuwezesha upatikanaji wa mabweni  ya shule katika kila kata

MWANAMKE DEREVA ANAYEMUENDESHA MKURUGENZI “WANAUME WANANISHANGAA,NAZUNGUKA MIKOA YOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments