Top Stories

Mgombea Urais chama UMD “tutatoa Passport bure na tutafuta vitambulisho vya NIDA”

on

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa.

Mazrui amesema, baada ya kufuta utaratibu wa kutoa Vitambulisho vya Taifa, wananchi watapewa hati za kusafiria (Passport) ambazo zitatolewa bure nchi nzima.

“Hati hizo zitawawezesha wananchi hao kusafiri katika nchi yoyote kwa ajili ya kwenda kutafuta maisha bila vikwazo vyovyote” Mazrui

“SIKU 200 ZA URAIS WANGU NITAJENGA MELI KUBWA” MGOMBEA URAIS CHAMA CHA DP

 

Soma na hizi

Tupia Comments