Top Stories

Mgonjwa wa kwanza wa Corona barani Afrika apatikana Misri

on

Leo February 15, 2020 Mgonjwa wa kwanza wa Corona amepatikana nchini Misri, na kuwa pia ni mgonjwa wa kwanza Barani Afrika.

Wizara ya afya ya Misri imeeleza kuwa, vipimo vya maabara vimethibitisha kuwepo kwa raia mmoja wa kigeni aliyetiliwa mashaka kukutwa na virusi hivyo vya Corona.

Tayari Serikali ya Misri imekwishalijulisha Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu mgonjwa huyo.

VALENTINE’S DAY CHANZO PADRI KUUAWA, MTOTO WA MKUU WA GEREZA KAMPENDA MFUNGWA, MABILIONI YAHONGWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments