Magazeti

Nimekurekodia Magazeti ya yakisomwa kwenye Radio leo Feb 24 Power Breakfast

on

Baadhi ya stori zilizopewa uzito ni pamoja na Rais Magufuli aongeza kasi ya utendaji vivuko vya feri Dar, ni tangu alipoamua kufanya ziara ya kushtukiza kivukoni hapo, Naibu Waziri ‘TAMISEMI’, Selemani Jafo ampa saa 48 mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya kondoa kutoa maelezo ya upotevu wa milioni 180 .

Rais Pierre Nkurunziza, ameitikia wito wa mazungumzo ya upatanishi yanayolenga kumaliza miezi 10 ya mzozo wa kisiasa Burundi, Kinara wa wizi wa benki atiwa mbaroni, mwanamke huyo anadaiwa kuwa ndiyo mchoraji wa ramani wa matukio ya ujambazi ktk benki na zote hizi unaweza kuzisikiliza kwenye hiisauti hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments