Top Stories

Aliehukumiwa miaka 20 aeleza alivyokutana magereza na Mkewe alietakiwa anyongwe (+video)

on

Mohamed Olotu ni Mtanzania aliyehukumiwa miaka 20 jela kimakosa kwa kudaiwa alifanya kosa la unyang’anyi amezungumza na AyoTV na millardayo.com nakusema Mke wake anaeishi nae hivi sasa alikutana naye wakiwa Magereza baada ya kuhukumiwa kunyongwa.

Mke wake japo ana miaka 25 anasema alitamani kuolewa na Mtu ambaye alishawahi kupitia Magereza na hakutaka kuwa na kijana nakusema mpenzi wake ana miaka 47 ambapo wamebahatika kupata mtoto mmoja.

“WATEKAJI WANAMTEKA MSAIDIZI WA MEMBE WANAMUULIZA HABARI ZA ZITTO” DC SABAYA

Soma na hizi

Tupia Comments