AyoTV

Video ya bomoabomoa ya Ubungo Dar es salaam Dec 9.

on

December 9 2015 ilikua ni siku ya uhuru wa Tanzania ambayo Rais John Pombe Magufuli aliamua iwe ni siku ya watu kufanya usafi kwenye maeneo ya ofisi zao, majumbani na mitaani ambapo kwenye jiji la Dar es salaam bomoabomoa ya vibanda ilifanyika kuliweka jiji kwenye usafi zaidi, tazama hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments