Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Nape aingia kwa miguu Ikulu kuomba asamehewe “sina amani, nakosa usingizi” (+video)

on

“Kwa hiyo baada ya kupata fursa nimekuja nimemuona, mle ambamo nilimkosea kama Baba yangu nimeongea nae na Baba amenielewa, ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri ambao nitaufanyia kazi” Nape 

“Naamini baada ya hapa mambo yatakwenda vizuri, kwa kweli kwa dhati ya moyo wangu nimshukuru sana sana, amenipa fursa kubwa, ndefu na ameongea maneno mengi kwangu na ushauri wake nimeuchukua”  Nape Nnauye.

MAGUFULI “INAUMIZA SAA NANE USIKU AMENITAFUTA, KAMTUMA MAMA MARIA NYERERE”

NAPE AMUOMBA MAGUFULI MSAMAHA KWA KUMUITA MSHAMBA, KAPEWA JAMBO AFANYE ILI YAISHE

Soma na hizi

Tupia Comments