Top Stories

Rais Magufuli akerwa “Magazeti yote heading mbakaji anaejipaka oil akamatwa” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Makatibu Tawala wa Wilaya zote na Maafisa Tarafa wa Tarafa zote hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo ameonyesha kukerwa na kitendo cha Magazeti ya Tanzania kutoipa kipaumbele habari ya Serengeti kutangazwa kuwa Mbuga bora.

RAIS MAGUFULI ATOA BILIONI 1 MAAFISA TARAFA NCHINI WANUNULIWE ‘BODABODA’

Soma na hizi

Tupia Comments