AyoTV

VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0

on

April 16 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kiporo kati ya mitatu dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 47.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA GOLI LA NNE LA MBWANA SAMATTA AKIWA NA KRC GENK YA UBELGIJI

Soma na hizi

Tupia Comments