Magazeti

Umekua busy leo Radio ukaiweka mbali? hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa

on

busyHuenda haujasikiliza radio asubuhi ya leo sababu ya kuwa busy mtu wangu ila time hii nimekuwekea hii post na unaweza kutumia dakika 16 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo Novemba 11 2014, hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Paul James kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast ya CloudsFM.

Zipo taarifa nyingi ikiwemo kontena 50 za dawa za MSD zinazoshikiliwa bandarini Dar hivyo bonyeza play hapa chini kusikiliza uchambuzi wa stori hizo.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments